About Us! - OFFICIALFEMA BLOG

Header Ads

About Us!

Site hii inafahamika kwa jina la "fema.co.tz" na inamilikiwa na FELIX MAYUNGA ambaye ndiyo mgurugenzi wa site hii

Site hii ni kwa ajili ya habari mbali mbali zikiwemo habari za Kitaifa, Kimataifa, Michezo, Siasa, Udaku na vile vile hata makala mbali mbali zinazohusu Afya , Mapenzi na Mahusiano na hata makala za kiuchumi na biashara zote hizi zinapatikana katika website yetu ya "fema.co.tz"

Hivyo ewe mdau unaombwa kutembelea webiste yetu kwa ajili ya habari mbali mbali na matukio., lakin pia tunaomba mawazo yenu, kwamba kitu gani ambacho tunatakiwa tukifanye ili tuweze kuboresha zaidi huduma zetu

Katika utendaji wetu wa kazi tunaheshim mawazo ya kila mtu hivyo mawazo yako pia yanahitajika, lakin haturuhusu matusi katika site yetu

Pia unaweza tembelea page zetu kama "OFFICIALFEMA" katika mitandao yetu ya kijamii facebook, instagram, twita, na vile vile tuna oline TV yetu ambayo inafahamika kwa jina la "OFFICIALFEMA TV"


asanteni sana na karibuni sana Mungu awabariki kwa kutembelea site yetu
Powered by Blogger.