Beki victor lindelof wa man united atakosa mechi ya sweden zidi ya korea kusini - OFFICIALFEMA BLOG

Header Ads

Beki victor lindelof wa man united atakosa mechi ya sweden zidi ya korea kusini


Beki wa man u lindelof atakosa mechi ya leo zidi ya korea kusini baada jana kupimwa alikuwa anaumwa kwahiyo kapewa siku tano za kupumzika na mechi inayofata watapambana na bingwa mtetezi ujerumani mwenye hasira ya kufungwa na mexico jana.

Uthibitho ni katika hiyo picha hapo chini👇

Powered by Blogger.