Header Ads

Eden hazard atangaza kutaka kuondoka chelsea         Mchezaji Eden hazard apeleka ujumbe kwenye bodi ya klabu kwamba anataka kuondoka baada ya kusema kwamba 'Nimeshinda kila kombe kasoro, kombe la UEFA na ukiangalia msimu huu siwezi kuchukua hilo kombe sababu tupo katika nafasi ya tano katika ligi.

           Eden hazard pia alisema kwamba kwasasa hataki kuongelea kuhusu usajili bali anataka kufocus kwenye kombe la dunia ili avutie timu kubwa ili zimnunue.

            Eden hazard amesema anatamani aende Real .Madrid na amesema kama wakiridhishwa na kiwango chake cha kombe la dunia watajua nini cha kufanya ili wamchukue.
              Pia alisema hata kama wamechukua FA lakini msimu uliopita ndo msimu waliocheza vibaya tangia atue hapo darajani.
Powered by Blogger.