Header Ads

Taarifa kamili kuhusu vifo vya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM)Jana majira ya saa tatu usiku ilitokea ajali kati ya gari lakubeba wagonjwa la chuo kikuu za Dar es salaam (UDSM AMBULANCE ) na lori wakati gari hilo la wagonjwa lilipokuwa likitoka mabibo hostel kuchukua wagonjwa wanafunzi ambao walikuwa wanapelekwa Chuoni kwa ajili ya matibabu


 Wakati Gari hilo likiwa linaelekea chuoni kupelekwa wagonjwa hao ndipo lilipopata ajili na ndani ya gari hilo kulikuwa na watu watano ambao ni Muuguzi (Jonathani Lung"nda) , (Dereva  James) na   wanafunzi watatu ambao ni
                             1)soko Maria Godiam 
                             2)steven E Sango 
                             3)Abisha Nkiko

MPAKA SASA   kutokana na Taarifa zilizotolewa na uongozi wa chuo hicho watu wanne kati ya watano waliokuwepo kwa gari hiyo wameshafariki ambao ni dereva , Muuguzi na wanafunzi wawili ambao nii soko Maria Godian na  steven E Sango wama Huku Mwafunzi mmoja ambaye ni
Abisha Nkiko
 akiwa amelazwa katika hospitali ya Muhimbili akiendelea kupatiwa matibabu kutokana na ajali hiyo

Bwana alitoa bwana ametwaa Jina la bwana lihimidiwe Amina
Powered by Blogger.