Header Ads

Rais Magufuli Atumbua Wakuu wawilaya na kufanya uteuzi

Image result for magufuli photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ameteua Wakuu wa Wilaya wawili ambapo amemteua Thomas Abson kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mwanga na  Charles Kabeho kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime vile vile amewateua Majaji 6 wa Mahakama Kuu, kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakimu na Wanasheria 15 kuwa Majaji wa Mahakama Kuu.

No comments

Powered by Blogger.